HACK TRICK: IFANYE COMPUTER YAKO IKUKARIBISHE KWA KULITAJA JINA LAKO PINDI INAPOWAKA (Welcom note when turn on your PC)
Mpenzi msomaji wa TIKUTECH Karibu katika ulimwengu wa DIGITALI
Basi leo nitakuelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kifanya COMPUPER yako itaje jina lako pindi na kila wakati unapoiwasha.... NATUMAINI UTAJIFUNZA VYEMA
FUATA HATUA HIZI
KITUFE CHA WINDOW KEY
- FUNGUA NOTE PAD KATIKA COMPUTER YAKO... Kama hujui jinsi ya kufungua note padi fanya hivi... nenda katika search box kwa kubofya kitufe cha alama ya window kwenye key board ya PC yako. na andika NOTE PAD kisha ENTER AU nenda katika START UP Kwa kubofya kitufe cha alama ya wondow kisha ALL PROGRAM------->NOTE PAD
- COPY MANENO CHINI KISHA PASTE HAYA KATIKA NOTE PADULIOIFUNGUA KATIKA HATIA YA KWANZA.
Dim speaks, speech
speaks="Welcome to your PC, Username"
Set speech=CreateObject("sapi.spvoice")
speech.Speak speaks
muonekano wa note pad
3. ANDIKA JINA LAKO KATIKA SEHEMU YA USER NAME: kumb toa/Futa user name na weka jina lako lakini usifute neno lolote lingine
4. SASA SAVE KWA KUBOFYA FILE UPANDE WA KUSHOTO JUU------>SAVE.. muhimu save file lako kwa jina lolote lakini mwisho weka .vbs mfano welcome.vbs au mdope.vbs HAPA SASA UKILIBOFYA MARA MBILI (Double click) hilo file ulilo save litataja maneno JINA LAKO 5. HATUA HII NI KUCOPY FILE ULILO LISAVE KATIKA HATUA YA NNE lenye .vbs mwisho
6. HAPA BOFYA WINDOW KEY+R (yaani kitufe chenye nembo ya window harafu bila kuachia bofya kitufe chenye herufi R) ITAKULETEA KIBOKSI CHA KUANDIKA MANENO HIVYO ANDIKA HIVI shell:startup harafu bofya ENTER na itakuletea na kufungua folder lililo jificha yaani
C:\Users\UserName}\AppData\Roaming\Microsoft\Windows\Start\Menu\Programs\Startup
Hivyo usipate shida wewe PASTE lile file ulilo COPY KATIKA HATUA YA TANO (5)
window key na R
7.SASA ZIMA NA WASHA COMPUTER YAKO (RESTART YOUR PC)
Pindi ikiwaka computer yako sasa utakaribishwa na computer yako kwa kutajwa jina lano
MAELEZO ZAIDI ENDELEA KUTEMBELEA TIKUTECH BLOG AU COMMENT KWA KUULIZA
No comments: