KIPI UNACHOTAKIWA KUJUA KUHUSU SAMSUNG DEX
Samsung Dex ni kifaa ambacho kimezinduliwa na samsung siku chache zilizopita wakati Samsung Galaxy S8 na S8+ zikiwa zinazinduliwa.
Hichi kifaa kitakuwezesha mtumiaji wa Samsung Galaxy S8 na S8+ kuweza kuamisha screen ya simu yako na kwenda kwenye monitor au hata Tv yenye HDMI support. Hichi kifaa kinakuja na HDMI port, USB-TYPE C port, Ethernet jack .
Ili kuweza kuelewa zaidi tazama video chini ikionyesha jinsi Samsung Dex itakavyokuwa inafanya kazi.
Picha chini inaonyesha muonekano wa Samsung Dex
Samsung sio wa kwanza kufanya kitu kama hichi pia microsoft tayari walishajaribu kuanzisha kufanya mambo kama haya. Samsung wanadai wanashirikia na microsoft kuona jinsi watakavyo iboresha samsung dex kuwa applications nyingi na kuwa kama desktop computer.
Mpaka hapa nimefikia mwisho. Usiache kunifatilia kwenye instagram yangu ya#tikutech ili kuwa wa kwanza kupata habari mbali mbali kuhusiana na teknologia. Pia usiache kutembelea blog mpya ya tikutech ili uweze kujifunza vitu kiundani zaidi.

No comments: